Masomo Ya Kielektroniki Kilgoris

Mradi wa elimu kupitia mtandao intaneti unaendelea nchini huku eneo la kwanza kupata vifaa vya e-reader ukianza kuwa na ufanisi hapa nchini. Matumizi ya mafunzo hayo yamewapa motisha wa kusoma wanafunzi wa Shule ya msingi ya Intimigom wilayani Kilgoris. Mashirima Kapombe ana maelezo zaidi.
Carolyn Dzambic